Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bd023ee435e5cb2bc26590cdcc048cfa.jpg
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Chuo kimekataa kutoa maoni yoyote lakini chanzo kimoja kinasema kwamba mwanamama huyo alijiandikisha mwaka 2011 kwa ajili ya shahada ya uzamili lakini mkufunzi wake aliona “utafiti aliofanya ulikuwa wa ubunifu na wenye mchango mkubwa katika taaluma” kwa hiyo ukapandishwa hadhi na kuwa wa shahada ya uzamivu.
 
Umaarufu huu umezidi kupungua katika siku za hivi karibuni hadi kufikia hatua ya kutofanyika kwa takribani miaka miwili. Bila shaka hali hiyo imesababishwa kwa maoni yangu na ombwe kubwa la uongzi wa CECAFA hususan Mtendaji Mkuu wa CECAFA ambaye naona anafanya kazi sasa kwa mazoea.
 
Tukiyaacha hayo, ninachokizungumzia hapa ni kauli iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF akiwasilisha kilicho amuliwa na Baraza la Cecafa kwamba katika mashindano hayo, maelekezo ni kwamba kila nchi ipeleke vikosi vya kwanza! Binafsi siafiki maelekezo hayo ya CECAFA kwa sababu zifuatazo
 
Timu za Taifa hazina usajili hivyo siyo lazima

Kama ambavyo tunafahamu, timu za Taifa za umri wowote ule, hazifanyi usajili hivyo kuwa na wigo mpana wa kuteua wachezaji wa timu hizo. Ukiacha timu zenye masharti kama za umri wa miaka chini ya 17, 20 na 23 ambazo wachezaji wake lazima wawe na umri huo, timu ya Taifa ya wakubwa haina kipengele hicho.
 
Back
Top Bottom