Hii mida mibovu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni aje Mkuu Mwifa mbona hivyo!? Hahahahaha lol!
Roho mbaya hiyo sasa!Sitakosekana kwenye huo ubuyu ntaalika na mashost humo haha
Alishaziachiaga za utupu kabisa na miguu katandaza. Aaaaaaaaaarghhh !!!He!!
Wamemuua vibaya jaman dah hope ripoti itatoa majibu zaidi