Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mwanafunzi kauliwa na kuzikwa bila wazazi wake kufahamu.habar ipo jukwaa la habar na hoja mchanganyiko. Picha yake ni hiyo niliyomquote ruta
Aisee, so sad! Thanks.
Mwanafunzi kauliwa na kuzikwa bila wazazi wake kufahamu.habar ipo jukwaa la habar na hoja mchanganyiko. Picha yake ni hiyo niliyomquote ruta
That's my papii.....Hakuna wa kuniteka. Hilo nakuhakikishia kabisa. Ngoja nami nikaonje kuoga maji yaliyotiwa mdalasini na karafuu. Nitaleta mrejesho !!!
Hii hii ya kwa kina DAB [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]