Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kanuni imekataza kufanya mikutano, siyo la watu kujadiliana. Kwa mfano amesoma katika gazeti jambo fulani na amekaa na mwenzake kisha kuanza kujadiliana hili linaruhisiwa. Lakini mtu mmoja kulazimisha watu kukaa kimya katika gari na kuanza kuhubiri hili limekatazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…