Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171120-WA0023.jpg
 
Mara nyingi vitu vinavyosababisha mtu apate mtoki ni pamoja na mtu kupata maambukizi ya magonjwa mfano ugonjwa wa vidonda koo au tonsillitis, lakini mbali na maambukizi pia mtu anaweza kuwa kaumia sehemu ya mwili mfano mguuni kapata kidonda,
 
Dalili za mtoki ni pamoja na maumivu sehemu yenye tezi, mfano inawezekana ikawa ni kwapani, katika nyonga au shingoni, mtu anaweza kupata homa, sehemu husika inaweza kuwa nyekundu (hii ni kutokana na kuongezeka kwa mtiririko wa damu katika sehemu hiyo).
 
ina umbo la punje ya haragwe na ukubwa wake ni kitu kisichozidi inch moja. Endapo mtu kapata maambukizi au kaumia au kapata kitu chochote kile kinachoweza kuifanya tezi ivimbe, ndipo mtu utakapoweza kuishika sehemu husika na kuweza kuihisi tezi katika mwili wako.
 
Kwi kwi kwi kwi nasikia yule sundi aliyehongwa nyumba ya ukwapuzi naye anakaribia kuhongwa nchi ili mkolomije arudi kwao akachunge ndege 😱😱😱

Mwanaume huyooo,penzi limemkolea hadi anahonga nchi[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine buku tu wanakuja kuleta thread humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna baadhi kama nilivyokwisha kueleza hapo awali kuwa chanzo inawezekana kikawa ni maambukizi ya vijidudu mfano bakteria, hivyo daktari atafanya maamuzi ni kundi lipi la dawa (antibiotics) litafaa kulingana na hali yako, pia kuna wengine wanao uvimbe ambao hauna maumivu na pengine ukubwa wake unaongezeka siku hadi siku,
 
Back
Top Bottom