Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20633857_1800058316701843_3019196468163510272_n.jpg
 
Dalili nyingine zinazoambatana na vidonda kooni ni uvimbe wa tezi unaodhihirika mbele ya shingo, homa kali, kichwa kuuma, mafua, harufu mbaya kinywani, kufifia au kupotea kwa sauti na mwili kuchoka. Vidonda kooni ambavyo huambatana na dalili nyingine kama vile mafua, kupiga chafya na kikohozi mara nyingi husababishwa na virusi.
 
Ndani ya vifuko hivi hutengenezwa mawe madogo yaliyo na mchanganyiko wa salfa ambayo huleta harufu mbaya ya kinywa. Mara nyingi mafindofindo sugu hutibiwa kwa njia ya upasuaji. Hii huamriwa na daktari endapo maambukizi hayo yatakuwa yameendelea kumsumbua mgonjwa kwa kipindi kirefu. Upasuaji utamsaidia mgonjwa kuepuka madhara kwenye mifumo mingine.

Ili kuepuka kupata maambukizi katika mfumo wa hewa ni vyema kuzingatia usafi wa mwili na mikono.

Epuka sehemu ambazo utakaa muda mrefu ambazo zinavihatarishi kama vile msongamano wa watu na vumbi.
 
Back
Top Bottom