Hata hivyo ili jokofu lako liweze kutimiza matarajio hayo, hupaswi kuliacha tu bila utunzaji. Njia sahii za utunzaji zitasaidia kifaa hiki kufanya kazi bila matatizo na kwa muda mrefu
ambapo halikutengenezwa kufanya kazi hiyo ya nyongeza. Wakati unapochagua mahali pa kuweka jokofu hakikisha angalau kuna nafasi wazi ya inchi mbili kila upande.
wengi wetu tunasahau nyuma ya jokofu. Ambapo ndio kuna zile koili zinazosaidia kufanya chakula kibaki na ubaridi kwa sababu koili hizi zinaondoa joto toka ndani ya jokofu na friza.
Kutegemea na muundo wa jokofu zipo koili zilizo nyuma au chini na ni rahisi kwa vumbi na chembechembe za uchafu kujishika humo baada ya muda. Uchafu huu unasababisha jokofu kuongeza msukomo wa kazi yake ambapo inapelekea kulichosha na kusababisha matengenezo ya gharama.
Uzuri ni kwamba kusafisha koili za nje ya jokofu ni hatua rahisi ya utunzaji wake ambayo unaweza tu kuifanya wewe mwenyewe. Zima jokofu, livute mbali na ukuta na tumia ufagilio wenye brashi laini kusafisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.