Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani jamaa kawa selebriti hivi hivi. Kila anakopita anaandamwa. Safi sana !!!Kwi kwi kwi kwi bilionea ndani ya kwa mama ntilie! Hana makuu huyu 😵😵😵
Yaani jamaa kawa selebriti hivi hivi. Kila anakopita anaandamwa. Safi sana !!!Kwi kwi kwi kwi bilionea ndani ya kwa mama ntilie! Hana makuu huyu 😵😵😵
Aluta continue bossHata hivyo nitapambana na hali yangu mpaka nitimize adhima niliyonayo kwenu
Yes we canNina jukumu LA kuwapa likes za kutosha ingawa maeneo nilipo net inazingua kidogo
Teh teh tehNikipata siti itapendeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]