Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-20-23-31-12.png
 
Mipira ya milangoni iwe inakaba
Ili jokofu liweze kufanya kazi vizuri na pia matumizi mazuri ya nishati, milango yake inatakiwa iwe inabana kabisa. Milangoni mwa jokofu kuna mpira ambayo huwa unakuwa dhaifu baada ya muda. Inapotokea hivyo hewa ya nje ambayo ina joto inapenya na kuingia ndani ya jokofu,
 
Kuisaidia mipira ya milangoni idumu, uwe unaisafisha baada ya kipindi kwa sabuni na maji. Kama unahisi imeanza kudhoofika fanya jaribio jepesi: Kungua mlango uufikishe nusu halafu uachie polepole ujifunge wenzewe. Kama haubani vizuri basi tayari mpira umeanza kuchoka. Habari njema ni kwamba mipira ya spea ipo na sio bei kubwa na vilevile kuibandika upya ni rahisi tu.
 
Liyeyushe kila baada ya kipindi
Kama jokofu lako ni moja ya matoleo mapya utakuwa una bahati kwamba halijengi barafu ndani (non frost) na huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu dondoo hii ya utunzaji. Ila kama ni la zamani kidogo, bila shaka una hii kadhia ya barafu kujaa ndani.
 
Barafu zinazojitenga katika koili zilizo ndani ya jokofu zinalilazimisha kufanya kazi ya nyongeza ili kubaki katika ubaridi unaotakiwa.

Barafu inapojijenga hadi inchi moja na nusu ni wakati wa kuyeyusha jokofu. Zima umeme, ondoa vyakula vyote, acha milango wazi na acha kifaa kiyeyuke.
 
Endapo hujalitoa nje ya nyumba, unaweza kubeba mabonge ya barafu kadiri yanavyojiachia na kuweka kwenye chombo ili kuepuka maji wengi kujaa ndani. Mara barafu yote inapoyeyka, mwaga na kausha mashelfu yaliyojikusanya maji, washa jokofu na rudishia vyakula vyako.
 
Back
Top Bottom