Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pande za kilakala, Mzumbe, SUA, Mafiga, Manzese, Boma Road, Chamwino, Kihonda, Kiegea, Nanenane, Area 5, Mwembesongo, Misufini, Sultan Area, Karume, Kingo, Mafisa, Sabasaba, Msamvu, Kola, Forest Hill, Kigurunyembe, Mawenzi
Ruaha, Kidodi, Mikumi, Lupilo, Mwaya, Mbingu, Ulanga, Kiberege, Mang'ula Ngerengere, Kinole, Mkuyuni, Matombo, Mvuha,Magogoni, Duthumi, Kolero, Kasanga, Kibogwa, Kisaki, Turiani, Gairo,Magubuke, Mikumi National Parks, Wami Mbiki Game reserve, Mountain Udzungwa National Park, Selous Game Reserve........Endelea nakuja
 
Ni saa 12 asubuhi napita kwenye mtaa Golani uliopo Ubungo mkoani Dar es Salaam. Mbele yangu namuona mwanamke akitembea haraka huku mtoto anayeweza kuwa darasa la kwanza au pili akija nyuma yake.

Kwa sababu mama huyo alikuwa na hatua kubwa, mtoto alijitahidi kuharakisha lakini hakuweza kumkuta.
 
Back
Top Bottom