mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mavazi mengine mhhh
Mavazi mengine mhhh
YapAsubuhi nyingine
YapLikes za asubuhi
YapUzalendo wetu udumu
Kweli mkuujua linachomoza na matumaini mapya
Na kwako pia jakitoo![]()
Jumanne njema wapendwa
Hahahahaha uniq niajeNaona umeweka picha ya Carba
Acha utani ujue vyuma vimekaza20,000tsh kwa post namba 500K
Du watu wako fastaWenzako huko mamtoni, New York City bana! Christmas imeshaload tayari! [emoji1][emoji1]
View attachment 634697
Ya “reoreo” hiyo bana!