myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani na upendo
PhD holder ametumia furusa vizuriYaani jamaa kawa selebriti hivi hivi. Kila anakopita anaandamwa. Safi sana !!!
PhD holder ametumia furusa vizuriYaani jamaa kawa selebriti hivi hivi. Kila anakopita anaandamwa. Safi sana !!!
Nipo mkuu nimeamka asbh hii kuwapa likes baada ya saa NNE nitakuwa majukumu kibaoWapi mzee wa liver
HahahahahaWapi mchina wa Muhoro Rufiji ho chi minh
Kk kapotea kabisaWapi mwana mpotevu kichwa kichafu
Fafanua kasalitiwa na nani mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi kijana aliyesalitiwa Cole William
Sana mkuu sisi wahengaKUMBUKA KITU HAPA![]()
Kanda ya Ziwa huku bila hiyo upate dagaaaNA HAPA JEEEE![]()
Mkuu niajeUkweli Mchungu
Kabisa mkuu mia miaHakika Kiongozi.
Maneno Kuntu hayo.
Na Mimi ngoja niongezee,
Kila lenye mwanzo lina mwisho.
Hakuna Marefu yasiokuwa na Ncha
Ukitaka kufurahi kila jumamosi njoo uburudike na wana sikinde oyeeee[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Tufurahi Leo tufurahi na wana sikinde tucheze Leo ngoma ya ukaee..
Safi sana
Ndio maana tunasema Nyerere alikuwa na vision sana aliamua kuachia madaraka mapema kabisa akabaki na heshima kubwa sanaLazima iwe hivyo. Baada kuipigania kupata Uhuru na hatimaye kuipitisha nchi hiyo kwenye changamoto nyingi hakupasa kuondoka kwa njia hiyo. Ilikuwa ima apinduliwe aondoke kwa aibu ama ajiondoe siku muafaka na si kwa shinikizo
Likes za asbhLikes za usiku