Lazima iwe hivyo. Baada kuipigania kupata Uhuru na hatimaye kuipitisha nchi hiyo kwenye changamoto nyingi hakupasa kuondoka kwa njia hiyo. Ilikuwa ima apinduliwe aondoke kwa aibu ama ajiondoe siku muafaka na si kwa shinikizoMugabe ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kutoka kila kona aliwashangaza watu Jumapili alipokataa kufanya hivyo alipolihutubia taifa kwa njia ya televisheni akiwa ikulu.
[emoji106] [emoji106]Habarini za jioni
Kupewa nini mkuuUkimfikisha binti katika levo hii ya furaha na mwangalio huu, basi uwezekano wa kupewa ni mkubwa sana [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Umeonaeee!![emoji124] [emoji124] [emoji124]Kupewa nn SYB[emoji15] umeniacha hapo