Hahahahaha akili sana hii
Sad sanaSijui hata kwanini wanasiasa wanapenda madaraka hivi,yaani wako radhi kuhatarisha maisha ya watu sababu ya matumbo yao,dah!
Christmas is loading
Unywaji pombe kupita kiasi Siku zote ni hatari kwa afya yako na Jamii piaJeshila Marekani limewapiga marufuku wanajeshi wake nchini Japan kutokunywa pombe baada ya mwanajeshi mmoja kuhusika katika ajali mbaya ya barabarani katika kisiwa cha Okinawa inayohusishwa na unywaji wa kupitia kiasi wa pombe.