moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Molongaze wayangu, mwa waguma hano?Good morning Pwani
Molongaze wayangu, mwa waguma hano?Good morning Pwani
Siasa za nchi ni full mauza uza. Mwanasiasa wa nchi hii muamini pale anapotoa salaam na anapotaja jina lake, yaliyobaki yote JIONGEZE.....hawa sio wa kuwaamini..2020 wanaweza kuwa chama kipya..!!
sawasawa...Siasa za nchi ni full mauza uza. Mwanasiasa wa nchi hii muamini pale anapotoa salaam na anapotaja jina lake, yaliyobaki yote JIONGEZE.....
Aiseeee