Pale alipokoswa koswa kuondoshwa na wale wenye vyeo vya kuanzia luteni na kepteni 1983, akosoma alama za nyakati na kujiweka kando kulinda heshima yake. Huyu rafiki yake bado anazitamani korido za ikuluNdio maana tunasema Nyerere alikuwa na vision sana aliamua kuachia madaraka mapema kabisa akabaki na heshima kubwa sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kanda ya Ziwa huku bila hiyo upate dagaaa
Kakake aitwaye Andjul[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Fafanua kasalitiwa na nani mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za jioni huko pembaGood morning Pemba
Habari kushinda wana wa Dar es salaamGood morning Dar es salaam
Manyara hamjamboGood morning Manyara
hawa sio wa kuwaamini..2020 wanaweza kuwa chama kipya..!!Masha, Msando, Katambi ndiyo habari ivumayo mjini
Shimboni MangiGood morning Kilimanjaro
Tanga vipi, mko poa watu wanguGood morning Tanga
Hausindile MkudeGood morning Morogoro