Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beautiful smile!
23594360_150940038774938_5031648547695493120_n.jpg
 
Tangu kuanza kwa msimu huu Matheo hajaichezea Yanga hata mechi moja za ligi kuu ya Tanzania Bara, na tatizo kubwa ni ushindani uliopo kwenye nafasi za ushambuliaji ambapo kuna wachezaji wengi wanaocheza nafasi hiyo na
 
Cristiano Ronaldo anaelekea kuvunja rekodi nyingine Ligi ya Mabingwa, kwani mshambuliaji huyo wa Real Madrid anahitaji goli moja tu zaidi kuizidi idadi yake iliyopita ya magoli 16 ndani ya kalenda ya mwaka mmoja.
 
Ronaldo, 32, amefunga mara 16 kwenye Ligi ya Mabingwa 2015, na ameifikia idadi aliyoiweka miezi 11 iliyopita, lakini anaweza kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 17 ikiwa ataweza kufunga katika mechi mbili za mwisho hatua ya makundi.
 
Ronaldo amekuwa na mwendo mzuri katika kipindi cha miaka mitatu Ligi ya Mabingwa kutokana na umahiri wake wa kupachika mabao, akiwa amefunga 16 mwaka 2015 na 2017, na magoli 15 mnamo 2013. Anayemfuatia kwa ubora huo ni Lionel Messi, ambaye amefunga mara 13 Barcelona kwa 2012 na 2016 - Jambo ambalo Ronaldo pia alifanya 2012 na 2014.
 
Kocha huyo raia wa Cameroon, amesema tatizo la timu yake kushindwa kufunga mabao mengi ni mpangilio wa washambuliaji aliokuwa nao kwenye kikosi chake ambao wengi wao wameshindwa kucheza kwa kiwango kile ambacho alitarajia wakionyeshe.
 
Omog ameiambia Goal, Bocco ni mchezaji mpambanaji anapokuwa uwanjani tofauti na wachezaji wengi wa nafasi hiyo ndiyo maana ameahidi kuendelea kumpa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza sambamba na Mganda Emmanuel Okwi.
"Hilo niwazo zuri na ninaamini kila mmoja wetu atalifurahi kutokana na uwezo aliouonyesha mchezaji na bao lake alilofunga kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons," amesema Omog.
 
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno amekuwa na rekodi nzuri katika kufunga mabao ndani ya msimu mmoja wa Ligi ya Mabingwa, akiwa amefunga mabao 17 katika msimu wa 2013-14. Msimu huu, pia ni kinara wa mbio za kucheka na nyavu akiwa ameshafunga mara sita, mbele ya Harry Kane wa Tottenham ambaye ameshafunga mara tano.
 
Back
Top Bottom