Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5043d2cf0593039746d2f9fb48c37489.jpg
 
Omog ameiambia Goal, Bocco ni mchezaji mpambanaji anapokuwa uwanjani tofauti na wachezaji wengi wa nafasi hiyo ndiyo maana ameahidi kuendelea kumpa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza sambamba na Mganda Emmanuel Okwi.
"Hilo niwazo zuri na ninaamini kila mmoja wetu atalifurahi kutokana na uwezo aliouonyesha mchezaji na bao lake alilofunga kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons," amesema Omog.
500k
 
Back
Top Bottom