Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Marekani huko pia wana crisis ya afya ya meno hasa huko vijijini na vimiji vidogo. Sababu kubwa ni gharama kubwa za matibabu ya meno na ukosefu wa madaktari wa meno pamoja na matatizo ya bima za afya na meno. Cha kusikitisha ni kwamba matatizo ya meno yanafungamanishwa moja kwa moja na magonjwa ya moyo na kutokuwa na magonjwa ya meno sasa kunatazamwa kama mkakati mmojawapo wa muhimu katika kupambana na magonjwa ya moyo...Anataja madhara hayo kuwa ni magonjwa ya ufizi yanayojionyesha kwa kutoa harufu mbaya ya kinywa, kutokwa damu katika fizi na kulegea kwa jino au meno na kutoboka kwa meno.
“Ni kweli kuwa matatizo ya meno yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku.