Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinachotokea ni mishipa ya fahamu kutiwa ganzi tu na hivyo kufifisha hali ya maumivu kwa mgojwa na hivyo yeye huamini amepona. “Taaluma ya tiba asili ni tiba ile ambayo imerithiwa toka kwa babu au bibi zetu.
 
Wengi wa waganga wa tiba asili huwa hawana elimu ya kutosha ya kutibu magonjwa ya kinywa na meno. Hivyo wanatibu kwa mazoea au imani tu.
 
Kwa kuwa |mgonjwa wa kinywa na meno humwendea mganga wa tiba asili kwa vile ana maumivu ya kinywa au meno, mganga wa tiba asili hutoa dawa inayoondoa maumivu ya meno kwa kuifanya mishipa ya fahamu ya kinywa au meno isifanye kazi. Mgonjwa huamini kuwa amepona kumbe siyo,” anasema Dk Chembele na kuongeza:
 
Nimewahi kushuhudia baadhi ya waganga wa tiba asili wanaojinadi kuwa wanatibu meno bila kung’oa wanamekuwa na meno yanayolegea au kutoboka kwa kiwango kikubwa na kulazimika kwenda kung’oa meno yao katika kliniki za meno za kisasa.”
 
1511255356382.jpg
 
Anasema mara nyingi matibabu hufanyika kwa kuhakikisha jino linatibiwa bila kuling’oa na inapobidi ling’olewe sababu za kitaalamu zaidi ndizo huzingatiwa kufikia uamuzi wa kuling’oa.
 
Kutokana na ukweli kuwa umuhimu wa meno ni mkubwa katika afya ya mwanabadamu ni vizuri kutibu meno bila kung’oa,” anasema na kuongeza kuwa:
 
Astrolojia - Elimu ya Nyota. Ilianza kama elimu ya muhimu sana iliyofungamana moja kwa moja na Astronomia. Baada ya Astronomia kujitenga na kuwa tawi la sayansi linalojitegemea, Astrolojia kwa sasa imebakia kuwa ramli ya kisasa inayotumiwa na akina Sheikh Yahaya na psychics wengine katika utabiri wao. Haina tofauti na ramli zingine za waganga wa kienyeji ambao tunawadharau na kuwapinga sana !!!
 
Mbali na dawa hizo za waganga wa tiba asili kusababisha wale waliozitumia kuwa katika hatari ya kupata saratani na majipu, dawa hizi zinazotangazwa kutibu meno bila kung’oa husababisha madhara zaidi kwa kuwa wengi huchelewa kupata tiba stahiki kwa kuamini kuwa wameshapata tiba sahihi kumbe wametiwa ganzi tu ya mishipa ya fahamu.
 
Anasema ingawa wengi huzinadi dawa hizi lakini ni ukweli ulio wazi kuwa hazijafanyiwa utafiti wa kutosha kuhusu matokeo yake katika jamii na ndiyo sababu kuna uwezekano mkubwa wa kusababisha saratani ya koo na kinywa.
 
Hivyo anashauri ni vizuri watu wajenge tabia ya kutumia au kufanya matibabu sahihi kwa wataalam sahihi kwa kutumia dawa sahihi zilizofanyiwa utafiti wa kutosha kabla ya matumizi yake kukubalika.
 
Back
Top Bottom