Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

615ca5e6c12029d197060e4ab011ae3c.jpg
 
Mrembo akijisiliba hivi namwambia kwaheri tutaonana siku nyingine. Unaenda wapi na marangi kama yale ya corner bar? Kha!
Akikutaka umle denda utakataa kisa marangi? Sema tu kama yametengenezwa Uchina likely ni sumu. Mengine yana kiwango kikubwa cha mercury na makemikali mengine ya hatari...
acd5aae905e56d1751c424b5374030d4.jpg
 
Back
Top Bottom