Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwaga busara hizo shemHaya mambo ni magumu sana. Tuulize sisi yaliyotukuta na tuliyopitia. Nyie mabinti wadogo mnaoyaanza mpaka nawaonea huruma sometimes. Mungu na Awasaidie tu kwa kweli hasa kwa hiki kizazi chenu hiki...
Yote ni kumwachia Mungu tu. Hakuna namna nyingine. It becomes easier that way. Ni kujifunza na kusonga mbele. Natamani siku moja niandike kijitabu nije nikuuzie nipige hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaga busara hizo shem
Ila mh!haya maneno yananifanya niwaze sana[emoji144] [emoji144]
Shemejiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]uniuzie tena?si unipe tu nisome bure jamaniYote ni kumwachia Mungu tu. Hakuna namna nyingine. It becomes easier that way. Ni kujifunza na kusonga mbele. Natamani siku moja niandike kijitabu nije nikuuzie nipige hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]