Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Numbers (Math) is the language of the Universe (God)...
Mimi niandike halafu wee nikupe bure. No way. Lazima ukinunue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemejiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]uniuzie tena?si unipe tu nisome bure jamani
Mimi naondoka, japo kwa muda.
Naenda safari ya mbali.
Kujitafuta huku na huko humo.
Nikirudi shukuru Mungu.
Nisiporudi jua kuwa nipo.
Iache taa ya moyo wako ikiwaka.
Ili siku nikiamua kurudi nyumbani.
Iniongoze na kunimulikia njia.
Kurudi tena moyoni mwako !!!
-SHIMBA-
Lazima itakuwepo. Kiswahili kimetangazwa kuwa tunu mojawapo ya taifa na nitashangaa kama watakuwa wameiparaganyua.Malenga wetu! [emoji1][emoji1][emoji1] Hivi ile kitu ilikuwa inaitwa BAKITA bado ipo?
Sasa kama akitaka kumkula si anamwambia akanawe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]