Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Majimama na bikini beach mhhh....
Mnataka "kukulana"? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ooooops! Nilifikiri nilikuwa nakusaidia. Ndo maana nikakimbia na kukuwacha....Ushawanga tayari, aah! [emoji1][emoji1]
Ooooops! Nilifikiri nilikuwa nakusaidia. Ndo maana nikakimbia na kukuwacha....
Yaani haya maisha haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui hata wanaume huwa mnawaza nini yaaniShemejiii.....Wanawake yaani mpaka huwa nawahurumia. You are targets kuliwa tu 24/7. Hata sijui huwa mnaishije....[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisubiri kwende wote nikakukule pesa zako[emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]Koh koh kokoko! Napita..[emoji1][emoji124][emoji124]
Mipaja haina uwiano[emoji23] [emoji23]
Twende buana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo shemeji yako kipenzi kumbe hujamjua wewe! Chochote unachomwambia wewe kwake ni kama sheria! Si umeona amechikichia kabisa! [emoji23][emoji23]
Uwiano upi tena shemeji?Mipaja haina uwiano[emoji23] [emoji23]
Duh!mambo mengine tuwaachie tu watoto sasa mwili wenyewe kama gunia la mahindi hauna hata uwiano ukavae nguo kama hizo si kujitia aibu tu mfyuuu[emoji36] [emoji36]Beach leo kumefurika watu balaa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
![]()
Aaaa wapi! Shemeji yangu kipenzi yuko huru kabisa na anajitegemea katika maamuzi yake. Huoni hapo juu amekwambia umsubiri aende akakukule dola zako?Huyo shemeji yako kipenzi kumbe hujamjua wewe! Chochote unachomwambia wewe kwake ni kama sheria! Si umeona amechikichia kabisa! [emoji23][emoji23]
Twende buana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu acha kunichonganisha na,shemeji yangu kipenzi,tena tuache[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna paja moja kubwa jinfine dogo,sijui kapata hypertrophy[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwiano upi tena shemeji?
Tena grandma wa hivi maneno kama cherehani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh!mambo mengine tuwaachie tu watoto sasa mwili wenyewe kama gunia la mahindi hauna hata uwiano ukavae nguo kama hizo si kujitia aibu tu mfyuuu[emoji36] [emoji36]
Mambo mengine bora yanipite kushoto