Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Choka mbaya anayekunywa mvinyo mwekundu ghali. Mhhh [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Nimekutayarishia hii hapa!
View attachment 635393
Choka mbaya anayekunywa mvinyo mwekundu ghali. Mhhh [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Nimekutayarishia hii hapa!
View attachment 635393
Fuleshi tu,sijui huko ulikoAya bana! Mambo niaje lakini?
Anaogopa kuliwa eti vidola vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Choka mbaya anayekunywa mvinyo mwekundu ghali. Mhhh [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23] [emoji23]
Kwaheri bhana tutaonana baadae,acha nimsindikize shemeji gym[emoji112] [emoji112]
Nani aende gym mida hii? Tena aache shemeji yake anakwenda kukuliwa?Embu tulia basi bana! Si mda wa kwenda gym umefika?
Shemeji yaani kama nakuona ulivyolegea. Yego leo sasa Ushindwe mwenyewe. Mi simo sasa usije ukanilaumu tena eti nimekuharibia. Byeee [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Heeeeh[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yaani hapa tu ndo nalegea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Borussia Dortmund 1 - 2 TottenhamMzee wa spurs kapotea mazima
Mkuu kwema? Za kupotea?Borussia Dortmund 1 - 2 Tottenham
Umeona mpira vizuri boss wangu
Borussia Dortmund 1 - 2 TottenhamBaada ya kuona man u anakula vichapo mfululizo akakimbilia spurs
Alikuwepo hapa sasa hivi...carbamazepine siku mingi pimbi wangu nimekumiss nimekuja kukusalimu
Msalimie sana akitokea mkuu.Alikuwepo hapa sasa hivi...
Kwema kabisa mkuu.Mkuu kwema? Za kupotea?