Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunakumbushana tu. Pamoja na uzuri, usomi, utajiri na ujanja wetu wote, siku moja wote tutakuwa hivi. Ni hilo tu wapendwa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
acdb423e730bccc252b04dc54da760ab.jpg
Hawa wangeachwa wapumzike, firauni ( pharaoh) anatosha kuwa mfano
 
Sijabahatika kuiona ila nimeona uzi kule watu wanalalamika iko page ya nani nikaitafute?
[emoji117] [emoji117] [emoji117] sema wazazi ifike kipindi wawe makin mtoto wa miaka mitatu si wakulala naye chumba kimoja mwisho wa siku watoto wanaharibika kama hivyo.
Maisha ya mjini hayo dada, chumba kimoja na watoto humo humo [emoji23] [emoji23]
 
Shemeji yaani kama nakuona ulivyolegea. Yego leo sasa Ushindwe mwenyewe. Mi simo sasa usije ukanilaumu tena eti nimekiharibia. Byeee [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shemejiiiiii ule mlegeo nimeukemea ukashindwa kabisa halafu ka yego kenyewe hakana hela
Ila hapa tu ndo umeharibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1511309314690.jpeg
 
[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
ee843c614d41fcd25b5568db2e22ed7a.jpg
Uuuwiii jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Macho sasa[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Hawa wangeachwa wapumzike, firauni ( pharaoh) anatosha kuwa mfano
Wamepumzika mbona? Samahani kama ni kinyume na imani yako. Ni mafuvu ya mauaji ya halaiki huko Rwanda. Wameyahifadhi waziwazi kama ukumbusho na maonyo kwa vizazi vijavyo ili visije vikarudia makosa ya kuendekeza chuki za kikabila, kikanda, kijamii na kitabaka.
 
Andjul ndiyo kielelezo chako cha uungwana?
Andjul ni bonge la muungwana, aigwe kwa uungwana alionao, jaribu kumuacha home kwako mbagala kisha mwenyewe fanya safari ya koromije uone atakavyo linda zizi lako[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3]
 
Thubutu! Nimwache Jakitoo na Andjul kwa wiki moja. Mbagala. Peke yao. Nisafiri kwenda Mwanza. Nimerogwaaaaa !!!
 
Back
Top Bottom