Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunakumbushana tu. Pamoja na uzuri, usomi, utajiri na ujanja wetu wote, siku moja wote tutakuwa hivi. Ni hilo tu wapendwa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
acdb423e730bccc252b04dc54da760ab.jpg
 
Umeiona video ya mtoto miaka mitatu hivi anakatika mambo aliyoyaona kwa wazazi usiku?
Sijabahatika kuiona ila nimeona uzi kule watu wanalalamika iko page ya nani nikaitafute?
[emoji117] [emoji117] [emoji117] sema wazazi ifike kipindi wawe makin mtoto wa miaka mitatu si wakulala naye chumba kimoja mwisho wa siku watoto wanaharibika kama hivyo.
 
Back
Top Bottom