Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1511275165139.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SHIMBA umenichekesha kwa nguvu ujue
Halafu me sijawaponda bhana,sema vitoto vya kisukuma vinazaliwa na afya halafu vizuriii [emoji7] [emoji7] hata nikivizaa sitalalamika hayo mengine tutarekebishana
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mzima wewe?jumanne yaendaje?tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Nafurahi kuwa angalau umecheka. Wasukuma tunaandamwa mno jamani kha! Mtuhurumiage sometimes....Hata hivyo nafurahi kuwa huna tatizo na kuzaa vitoto vishamba vya Kisukuma vitakavyoendeleza ushamba wa Kisukuma na kuendelea kuchekwa mitandaoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom