Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
659f6fe138dc0af8aaa3dcb2b588536b--sexy-ebony-girls-ebony-women.jpg
 
Huyu wa kulia mbona kama Mnyakyusa huyu? Wasukuma jamani mnatuonea bure tu kha !!!

[emoji117][emoji117][emoji117] Na nawaombea mabinti wote mnaoponda Wasukuma muishie kuolewa na Wasukuma nanyi mzae watoto washamba wa Kisukuma. Malipo ni hapa hapa duniani ati !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SHIMBA umenichekesha kwa nguvu ujue
Halafu me sijawaponda bhana,sema vitoto vya kisukuma vinazaliwa na afya halafu vizuriii [emoji7] [emoji7] hata nikivizaa sitalalamika hayo mengine tutarekebishana
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mzima wewe?jumanne yaendaje?tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom