Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beach leo kumefurika watu balaa [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Duh!mambo mengine tuwaachie tu watoto sasa mwili wenyewe kama gunia la mahindi hauna hata uwiano ukavae nguo kama hizo si kujitia aibu tu mfyuuu[emoji36] [emoji36]
Mambo mengine bora yanipite kushoto
 
Huyo shemeji yako kipenzi kumbe hujamjua wewe! Chochote unachomwambia wewe kwake ni kama sheria! Si umeona amechikichia kabisa! [emoji23][emoji23]
Aaaa wapi! Shemeji yangu kipenzi yuko huru kabisa na anajitegemea katika maamuzi yake. Huoni hapo juu amekwambia umsubiri aende akakukule dola zako?
 
Duh!mambo mengine tuwaachie tu watoto sasa mwili wenyewe kama gunia la mahindi hauna hata uwiano ukavae nguo kama hizo si kujitia aibu tu mfyuuu[emoji36] [emoji36]
Mambo mengine bora yanipite kushoto
Tena grandma wa hivi maneno kama cherehani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…