Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tanga poa kabisa joto kali tuSafi kabisa ndugu yangu.Habari ya Tanga?
Tuna ibiwa ShemejiHizo bilioni 10 zinatoka wapi?
Zis izi e mirako...
*************************
Worldwide, females earn $18 trillion, but spend $28 trillion.
Hajawah alikua chadema akakimbia na kuitwa tumbili akaenda nccr alipokosa ubunhe akarudi cdmKwani hajawahi kuwa huko? Ametangatanga sana sehemu nyingi. Kwa Zitto nako kunakimbiwa sana.
Sitashangaa kama akienda Lumumba.
Wanasiasa wetu hawa hawatabiriki
HahahhahahhTumbili kajivua gwanda. Wanasiasa na siasa zao. Kutangatanga.
Kweli kabisa,maisha bila siasa inawezekana sana. Tatizo kamyumbukiza na mkewe kwenye siasa wacha aliwe na wajanjaBora angekaa kimya mtaani...
[emoji106][emoji106][emoji106]Kweli kabisa,maisha bila siasa inawezekana sana. Tatizo kamyumbukiza na mkewe kwenye siasa wacha aliwe na wajanja
Siasa za bara hili sio za kupigia kelele...tuombe Tuwe na amani ya kudumu..Kweli kabisa,maisha bila siasa inawezekana sana. Tatizo kamyumbukiza na mkewe kwenye siasa wacha aliwe na wajanja
Duh!After trying cocaine once, it rewires your brain chemistry to want it again