Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3e5b7694d078cc9cc07052a2b3af8397.jpg
 
Baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mbalimbali jijini ikiwemo Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wameacha matibabu na kwenda kutibiwa kwa madaktari bingwa kutoka China wanaotoa huduma katika meli ya ‘Ark of Peace’ iliyopo bandarini Dar es Salaam.
 
Baadhi ya wagonjwa hao Musa Muna (63), ambaye alikuwa akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili amesema ameamua kuacha matibabu hayo kwa muda na kuifuata meli hiyo kutokana na kukosa fedha kiasi cha Sh4.5 milioni za kuondoa uvimbe kwenye figo yake.
 
Back
Top Bottom