Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangu jana hakukuwa na utaratibu mzuri, kadi hazikuwa zikigawiwa kwa utaratibu mzuri askari anakuja anawapa watu anaowajua kadi zaidi ya moja, tupo hapa tangu saa 8 usiku, tukaorodhesha majina ajabu asubuhi wanafika wanasema hatukufuata taratibu, zoezi limesitishwa kwani wameshagawa mpaka watakaotibiwa Jumamosi, wananchi wa chini tunafanyaje? alihoji Kavishe.
 
Akijibu suala hilo, mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Grace Magembe aliwataka wananchi kuwa na subira kwani mpaka sasa tayari namba za matibabu zimetosha hivyo wasubiri mpaka watakapotangaziwa.

“Tumegawa kadi 6,000 na mpaka sasa watu watakaotibiwa ni mpaka Jumamosi, nasisitiza usinunue kadi kwa mtu subiri mpaka upewe,” alisema Dk Magembe.
 
Maajabu ya ‘Ark of Peace’

Ndani ya meli hiyo kuna mandhari ya kipekee na huduma mbalimbali zinazopatikana ikiwemo wodi za wagonjwa, vyumba vya madaktari, vyumba vya upasuaji, ICU, mashine mbalimbali za matibabu ikiwemo kunyoosha mgongo.

Pia ina vyumba maalumu vyenye mashine mbalimbali na vifaa vya kisasa kwa ajili ya vipimo, huku dawa na matibabu yanayotolewa yakiwa ni ya kiasili zaidi.

Meli hiyo ina vitanda 300, kila chumba kuna wahudumu wa afya wanaoshirikiana na madaktari wa China kwa ajili ukarimani.
 
8b3d1bd02b3e73d7016b799b19eb5144.jpg
 
Nimeona ni idadi kubwa ya wahitaji wa matibabu ya kwenye meli,watafanikiwa kusikilizwa wote kweli?
Wachina wanaweza wahudumia wote tatizo lipo kwa wasimamizi wa hizo kadi za matibabu wanawapa vipaumbele ndugu zao hata wanaoumwa machacha wakisahau kuna watu baki wana magonjwa makubwa yanayohitaji tiba ya uhakika huku uwezo wa kipesa hawana
 
Wachina wanaweza wahudumia wote tatizo lipo kwa wasimamizi wa hizo kadi za matibabu wanawapa vipaumbele ndugu zao hata wanaoumwa machacha wakisahau kuna watu baki wana magonjwa makubwa yanayohitaji tiba ya uhakika huku uwezo wa kipesa hawana
Hakika. Wapo wengine wanataka kupiga picha tu akiwa kwenye meli ili anyanyasie Instagram.
Mungu aendelee kuwaponya wasumbukao na kuwapa faraja.
 
Robert Gabriel Mugabealipata elimu yake katika shule ya misheni na baadaye akapata mafunzo kama mwalimu baada ya kuhitimu katika chuo kikuu cha Fort Hare ambako Nelson Mandela alisomea. Mwaka 1958, alikwenda kufanya kazi nchini Ghana
 
Back
Top Bottom