Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

825c5d26a7d6a8702f808dcc8dcea655.jpg
 
Nimetoka kijiji cha Mgeta wilaya ni Kilombero, kwa zaidi ya miaka minne nilikuwa natibiwa kliniki Muhimbili ambako pia nimeshalazwa mara tatu, zaidi ya Sh2 milioni nimetumia katika matibabu yangu ya awali, lakini ilishindikana na ili kusafishwa na kuondolewa hicho kiuvimbe ni gharama nisiyoimudu,” alisema Mzee Muna.
 
Wakati nasubiria namba nikadondoka ghafla, wakanichukua na kunipa huduma ya kwanza, baadaye nikapatiwa nafasi ya kuonana na RMO (Mganga Mkuu wa Mkoa) na kusaidiwa hivyo nimeambiwa nitapata matibabu Jumamosi,” alisema Muna.
 
Alisema mwaka 2013 aliambiwa kuwa ana uvimbe pembeni mwa figo na kupewa dawa, lakini hakupona mpaka Oktoba mwaka huu Muhimbili walipomtaarifu kuwa uvimbe umezidi kuwa mkubwa hivyo inatakiwa usafishwe ili kupunguza maumivu yanayomfanya ashindwe kufanya kazi.
 
Neema Molel, mkazi wa Kimara ambaye amefika kupata matibabu katika meli hiyo alisema baada ya matibabu ya muda mrefu ya mgongo aliyokuwa akiyapata katika moja ya hospitali binafsi jijini ameona ni vema kuwaona wataalamu hao ili apate suluhu ya maumivu hayo.
 
Kuna kipindi niliambiwa nina matatizo ya uti wa mgongo na nilipewa masharti kadhaa, nimekunywa dawa nyingi, lakini naona bado maumivu yanaendelea, nimeona ni vema nikawaona madaktari hawa, na tayari nimepewa namba nasubiri kuitwa,” alisema Neema.
 
Andjul ni bonge la muungwana, aigwe kwa uungwana alionao, jaribu kumuacha home kwako mbagala kisha mwenyewe fanya safari ya koromije uone atakavyo linda zizi lako[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muda mrefu jicho lilikuwa linanisumbua na tayari nilikuwa nimeandikiwa rufaa ya kwenda Muhimbili, kwa bahati nzuri imekuja huduma hii na nitafanyiwa upasuaji usiku wa leo (kuamkia leo) na madaktari hawa bingwa bila malipo yoyote,” alisema Grace.
 
Namba zazua tafrani

Licha ya wagonjwa hao, suala la namba jana lilichukua sura mpya baada ya wananchi kufika katika eneo hilo alfajiri na wengine saa nane usiku ili kuwahi namba lakini wakaelezwa kuwa hakukuwa na utaratibu huo. Tofauti na siku ya awali, jana huduma ilikuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kutokana na namba za huduma hiyo kudaiwa zimeisha.
 
Back
Top Bottom