myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
16:38
Koromije Mungu Anasaidia ndugu yangu. Asante kwa kuuliza. Mungu Akubariki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu vipi hali Koromije
....and that's where your power lies....
Litha kaamua kujiripua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]litha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Aisee. Kumbe hata Mugabe alikuwa kijana. Father time conquers everything...
Commandantes...(makamanda!)....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Litha kaamua kujiripua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imagine walivyotoka mbali na huyu makamu wake. Leo hii mwanamke kaja na kuanza kuusambaratisha urafiki huu wa tangu zamani. Ndiyo maana wapiganaji wenzake wamekataa...Robert Mugabe, Josiah Tongogara and Emmerson Mnangagwa
View attachment 635632
Mapacha wanaoa mapacha. Safi sana !!!
Indeed[emoji4] [emoji4]Mapacha wanaoa mapacha. Safi sana !!!