Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2863a2b4194749ea4da1efa985f4ba9e.jpg
 
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Jumanne Novemba 21,2017 katika Kijiji cha Jojo, mwenyekiti wa kijiji hicho, Mussa Hassan alisema wavuvi Hamis Athuman, Hamad Faki na Issa Shali walitoswa baharini na waliokolewa na mvuvi wa kijiji kingine saa tisa alasiri ikiwa ni saa nne tangu walipotoswa.
Duuu, unyama unyama tu..Binadamu tupa kule ili samaki waishi..[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mkuuuu! Mambo mengine waachie wenyewe wafanye haya majumuisho. Ukiulizwa umejuaje utashindwa kutoa jibu.[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Duuu, hivi uliwahi kuishi magomeni ya dar mkuu? maana nashindwa kusema mengi hapa nitaonejkana nadhalilisha watu furani
 
Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, utaratibu na kanuni. Wavuvi wakikamatwa wanatakiwa kuletwa kwenye kamati ya kijiji na ikishindikana wanapaswa kupelekwa polisi. Mhalifu yeyote anapelekwa polisi,” amesema.
Watu wana haraka zao unataka kuwachelewesha mpaka waje kijijini walete watuhumiwa!!? Ni msiba huo
 
Back
Top Bottom