Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulega ameagiza kuundwa kamati baada ya kutokea mvutano kati ya maofisa wa Hifadhi ya Bahari na wananchi wa Kijiji cha Jojo-Mafia wanaojishughulisha na uvuvi wanaolalamika kwamba wananyanyaswa na maofisa hao.
 
Ni mida ya wanga tayari au bado? Jirani mtunza muda naona kautandika mapema leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
235e71f09fb3c47e4a032d1c593f1890.jpg
 
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Jumanne Novemba 21,2017 katika Kijiji cha Jojo, mwenyekiti wa kijiji hicho, Mussa Hassan alisema wavuvi Hamis Athuman, Hamad Faki na Issa Shali walitoswa baharini na waliokolewa na mvuvi wa kijiji kingine saa tisa alasiri ikiwa ni saa nne tangu walipotoswa.
 
Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, utaratibu na kanuni. Wavuvi wakikamatwa wanatakiwa kuletwa kwenye kamati ya kijiji na ikishindikana wanapaswa kupelekwa polisi. Mhalifu yeyote anapelekwa polisi,” amesema.
 
Back
Top Bottom