moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shukran sana uniq. Vocha ya elfu 20 kwa kusaka likes tu humu si mchezo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shukran sana uniq. Vocha ya elfu 20 kwa kusaka likes tu humu si mchezo
Huyu hatutaki aondoke kama kaka yake Andrew Shijja ambaye tulikuwa naye hapa miaka ya mwisho ya 80Pamoja kamanda. DAB mpe muda tu. Wakuja huyo Dar ya akina Moud ataiacha kama alivyoikuta !!!
Karibu sana katika uzi huu mkuu. Huku tunataniana sana na kuna karibu kila kitu. Itafurahisha ukiwa unatutembelea mara kwa marayameniingia mpka kwnye muscles mkuu
Mpare asiye na chembe za Kipare. Dadangu Baby S hakukosea. Ndiyo maana hata mahari hatukuzungushwa hata kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shukran sana uniq. Vocha ya elfu 20 kwa kusaka likes tu humu si mchezo
Bagosha !!!Sitakubali wasukuma wabalike toka mira na desturi walizonazo kama ilivyo kwa makabila mengine, maana inatupa fursa kutaniana na kucheka kiasi hiki. Tukifanana tutataniana saa ngapi bana
Mpare hazungushi ni paap ahadi inatimia bila longo longo babes anafaidi banaMpare asiye na chembe za Kipare. Dadangu Baby S hakukosea. Ndiyo maana hata mahari hatukuzungushwa hata kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hope 600k ataipata nae ajimwage mwage online muda wote.Babe S aliitamani sana, asubuhi namuambia umeipata wewe wacha asikitike.
HahahahHope 600k ataipata nae ajimwage mwage online muda wote.
Hahahahaha, chapa ya pamba anakula kipupwe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bagosha !!!
![]()
Ulikuwa unauza simu mkuu?Hiyo sehemu magumashi nyingi sana ilikuwaga mitAa yangu back then
Karibu mkuuNapita tu