Mkuu yaani kipusa maana yake ni ubweche? Funguka kiongoziUbweche
Kwema kabisaMkuu tusalimiane. Kwema, vipi jamaa yetu hajambo[emoji3] [emoji3]
Duuu, tafuta kiki kwenye likes. Safi sana. Pamoja broNatafuta kick mkuu kwani hujui?
Hatujambo kaka, Habari yako?Wana jamvi wazima humu ndani
Habari yangu ni nzuri kabisa. Nilikuwa na kamilisha ahadi kwa mtu atake pata post ya 500KHatujambo kaka, Habari yako?
Nimeona kaka[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Habari yangu ni nzuri kabisa. Nilikuwa na kamilisha ahadi kwa mtu atake pata post ya 500K
Mnajadili makabila. Mnataka kutambika? (In Mwl. Nyerere's voice). Shame on you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Wakipata vyeo hubadirisha majina ili kujipatia kiki mjini. Ngoja tumsubiri hapa SHIMBA YA BUYENZE, akiamka atatupa majibu
Kula likes mkuu. Mambo ya DAB sisi huku hayatuhusu...naskia wasukuma wakienda dar hawataki kurudi makwao
Sasa tunaitafuta 600KNimeona kaka[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ubarikiwe sana.
[emoji137] [emoji137] Umeamkaje mpendwa?Mnajadili makabila. Mnataka kutambika? (In Mwl. Nyerere's voice). Shame on you [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Katika Isimu Jamii, lafudhi (na viashiria vyake) ndiyo kitambulisho cha mtu, na kwa mtu anayejitambua siyo kitu cha kuonea aibu hasa kwa sasa ambapo lugha zetu za mama zinakufa. Isitoshe, viashiria vya kilafudhi ndivyo hutuwezesha kubaini kuwa huyu ni mf. Mchaga (nji hii), Mkurya (kura tumekura kurara je), Mmakonde (kuna ntu na ntu), Wahaya na Wakerewe (hunasema nini?). Hata watu wa pwani akina Moudgulf nao utawajua tu kwa Kiswahili chao cha haraka haraka na jitihada za wazi kutamka maneno ya Kiswahili yenye asili ya Kiarabu kwa mbwembwe. Hata Marekani kule wanajuana kwa lafudhi zao (lafudhi ya New York), Alabama, Maine n.k. Hata wewe hata ujidai umesoma namna gani, bado unayo lafudhi yako na huo ndiyo utambulisho wako. Ndiyo maana inaaminika kwamba "lafudhi" sanifu ni dhana dhahnia tu kwa sababu kimsingi hakuna anayeiongea. Watu wa lishe watakwambia "You are what you eat". Wanaisimu jamii watakwambia "You are what you speak!"....kweli kabisa mkuu......bahati nzur lafudh yao haibadiriki hata uipake rangi nzur kias gn
Kwema binti mwema. Barikiwa !!![emoji137] [emoji137] Umeamkaje mpendwa?