Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Omog ameiambia Goal, Bocco ni mchezaji mpambanaji anapokuwa uwanjani tofauti na wachezaji wengi wa nafasi hiyo ndiyo maana ameahidi kuendelea kumpa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza sambamba na Mganda Emmanuel Okwi.
"Hilo niwazo zuri na ninaamini kila mmoja wetu atalifurahi kutokana na uwezo aliouonyesha mchezaji na bao lake alilofunga kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons," amesema Omog.
Numbisa naomba kujua mtandao gani unatumia niweze kukutumia vocha ya shs 20,000. USINIPE NAMBA NAOMBA KUJUA MTANDAO UNAOTUMIA
 
2050 hiyo :; Mzee wa watu analalamika radioni siku hizi hapati show kuweni na huruma jaman
a1853134bdd922389eb3b3d024f3ba76.jpg
Hahahaha, show za mond mwaka 2050[emoji3] [emoji3] [emoji3] ningetamani nihifadhi picha na post za aina hii mpaka miaka 33 ijayo kama mwenyezi Mungu atanijaalia kuishi mpaka wakati huo
 
Back
Top Bottom