moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu uniq, hujambo kijanaNingekuwa naweza kupiga kale kagitaaa ningepiga
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu uniq, hujambo kijanaNingekuwa naweza kupiga kale kagitaaa ningepiga
Matendo ya namna hiyo huwa yanafanywa na wanadamu ambao wana akili na tamaa. Ndiyo maana mwenyezi mungu alituletea mitume kutuonya. Wanyama ingawa wenyewe wana matamanio na hawana maarifa ni mara chache kuyafanya hayo. hivyo inawezekana hilo ingawa ni mara chache mnoSasa mbona huku mtaani wanadai Jana jogoo shoga alionekana
Weka post za kutosha, pia gonga likes za kutosha kwa wadau. Ni burudani isiyo na kikomoNa mimi je?
Hope umepata mzigo wako wa 20,000Nahodha wa zamani wa klabu ya West Brom Derek McInnes, anayeisimamia Aberdeen, ni miongoni mwa wagombea wa kuchukua mahala pake mkufunzi wa klabu hiyo aliyefutwa kazi Tony Pulis kama mkufunzi. (The Scottish Sun)
Marahaba kijana, hujambo bw mdogoshikamooni wakubwaaa
Mkuu tusalimiane. Kwema, vipi jamaa yetu hajambo[emoji3] [emoji3]Hope umepata mzigo wako wa 20,000
Nzuri kabisa cole, za jumatano?Safi Jakii za wewe
Wakipata vyeo hubadirisha majina ili kujipatia kiki mjini. Ngoja tumsubiri hapa SHIMBA YA BUYENZE, akiamka atatupa majibunaskia wasukuma wakienda dar hawataki kurudi makwao
Kipusa? Una maana gani mkuuMimi kipusa
Jakitoo, mzima weweNzuri kabisa cole, za jumatano?
kweli kabisa mkuu......bahati nzur lafudh yao haibadiriki hata uipake rangi nzur kias gnWakipata vyeo hubadirisha majina ili kujipatia kiki mjini. Ngoja tumsubiri hapa SHIMBA YA BUYENZE, akiamka atatupa majibu
Sijambo moud, habari ya Jumatano?Jakitoo, mzima wewe
Natafuta kick mkuu kwani hujui?Kipusa? Una maana gani mkuu