Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b7bcbaed8aa75491c73ebacbf2a6de4f.jpg
siku Ikifika Haitaangalia Umri wala Sura
Utaolewa/ Utaowa Mungu ni wetu Sote
Mkuu, ni lazima kuoa/kuolewa au ni mikatale ya kijamii tu tumebebeshwa?
 
Katika Isimu Jamii, lafudhi (na viashiria vyake) ndiyo kitambulisho cha mtu, na kwa mtu anayejitambua siyo kitu cha kuonea aibu hasa kwa sasa ambapo lugha zetu za mama zinakufa. Isitoshe, viashiria vya kilafudhi ndivyo hutuwezesha kubaini kuwa huyu ni mf. Mchaga (nji hii), Mkurya (kura tumekura kurara je), Mmakonde (kuna ntu na ntu), Wahaya na Wakerewe (hunasema nini?). Hata watu wa pwani akina Moudgulf nao utawajua tu kwa Kiswahili chao cha haraka haraka na jitihada za wazi kutamka maneno ya Kiswahili yenye asili ya Kiarabu kwa mbwembwe. Hata Marekani kule wanajuana kwa lafudhi zao (lafudhi ya New York), Alabama, Maine n.k. Hata wewe hata ujidai umesoma namna gani, bado unayo lafudhi yako na huo ndiyo utambulisho wako. Ndiyo maana inaaminika kwamba "lafudhi" sanifu ni dhana dhahnia tu kwa sababu kimsingi hakuna anayeiongea. Watu wa lishe watakwambia "You are what you eat". Wanaisimu jamii watakwambia "You are what you speak!"....
yameniingia mpka kwnye muscles mkuu
 
Sitakubali wasukuma wabalike toka mira na desturi walizonazo kama ilivyo kwa makabila mengine, maana inatupa fursa kutaniana na kucheka kiasi hiki. Tukifanana tutataniana saa ngapi bana
 
Back
Top Bottom