Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duuu, unyama unyama tu..Binadamu tupa kule ili samaki waishi..[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Duuu, hivi uliwahi kuishi magomeni ya dar mkuu? maana nashindwa kusema mengi hapa nitaonejkana nadhalilisha watu furani
 
Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, utaratibu na kanuni. Wavuvi wakikamatwa wanatakiwa kuletwa kwenye kamati ya kijiji na ikishindikana wanapaswa kupelekwa polisi. Mhalifu yeyote anapelekwa polisi,” amesema.
Watu wana haraka zao unataka kuwachelewesha mpaka waje kijijini walete watuhumiwa!!? Ni msiba huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…