Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kumbe nawe upo humo,mmh una moyo maana hasara haivumiliki hasa unapoliwa pesa mdefu
Yeah! Ni biashara ngumu sana hasa mwanzoni; na siyo biashara inayomfaa kila mtu. Mwe mwenyewe karibu namwaga manyanga. Pengine nikisoma soma na kujifunza zaidi kwanza nitaiwezea kidogo....