Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kuliwa utaliwa tu. Ukisikia wanavyoisifia utafikiri ni biashara ya mchezo mchezo na hela nje nje. Inataka umakini wa hali ya juu na kusoma na kujifunza bila kuchoka huku ukifuatilia matukio ya dunia kwa ukaribu sana. Na siyo wote wanaopata hela japo ukisoma zile thread utafikiri ni rahisi. Wengi wataumia !!!

Ulishaijaribu?
Sijawah sina moyo wa kuvumilia hasara
 
Hata Trump tu akimkoromea yule dogo mwenye kiduku kule N. Korea masoko ya fedha yanaweza kuyumba duniani hasa Yen ya Wajapan kule. Inabidi ufuatilie kwa uangalifu matukio yote muhimu na yanayoweza kuathiri masoko ya pesa duniani. Na pengine hata ubuyu wa Malkia kule, Trump...unaweza kutingisha akaunti yako. Unaweza kulala ukajisahau ukija kuamka dola zako 2,000 zote zimeenda na maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heee aiseee pesa zinayeyushwa kirahisi rahisi hivyo duh sasa hapo mkesha si unakuwepo bila kupenda
 
6adc679b341a0fe7382c663c512f98aa.jpg
 
Ni biashara gani unafanya ambazo hazina uwezekano wa kula hasara? Siku nikija Mwanza halafu ukatae kuonana nami nitakwenda hata Radio Free Afrika kulalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara zipo hazina hasara kubwa za kuleteana presha
hahhahahaaa aiseee radio zilipendwa hio. Anonymous milele
 
Back
Top Bottom