Yeah! Ni biashara ngumu sana hasa mwanzoni; na siyo biashara inayomfaa kila mtu. Mwe mwenyewe karibu namwaga manyanga. Pengine nikisoma soma na kujifunza zaidi kwanza nitaiwezea kidogo....
Mm sithubutu hizo...bora kucheza kamari ya vitunguu na matango shambani ina uhakika..Kumbe nawe upo humo,mmh una moyo maana hasara haivumiliki hasa unapoliwa pesa mdefu
Yaan presha tupu muda wote uwe standby nilienda soma ile thread ya forex nkaona duh wana kaziMm sithubutu hizo...bora kucheza kamari ya vitunguu na matango shambani ina uhakika..
Na kuliwa utaliwa tu. Ukisikia wanavyoisifia utafikiri ni biashara ya mchezo mchezo na hela nje nje. Inataka umakini wa hali ya juu na kusoma na kujifunza bila kuchoka huku ukifuatilia matukio ya dunia kwa ukaribu sana. Na siyo wote wanaopata hela japo ukisoma zile thread utafikiri ni rahisi. Wengi wataumia !!!Kumbe nawe upo humo,mmh una moyo maana hasara haivumiliki hasa unapoliwa pesa mdefu
Una irrigation yako mwenyewe?Mm sithubutu hizo...bora kucheza kamari ya vitunguu na matango shambani ina uhakika..
Heee aiseee matukio ya dunia nzima tena uwiii ni zaidi ya kula ubuyuNa kuliwa utaliwa tu. Ukisikia wanavyoisifia utafikiri ni biashara ya mchezo mchezo na hela nje nje. Inataka umakini wa hali ya juu na kusoma na kujifunza bila kuchoka huku ukifuatilia matukio ya dunia kwa ukaribu sana.
Ulishaijaribu?
Mimi sifanyi hizo..bora utengeneze ka greenhouse kako upate mboga uuze ..risk ni ndogo sanaYaan presha tupu muda wote uwe standby nilienda soma ile thread ya forex nkaona duh wana kazi
Hapana..maji tunashea eneo moja..ila pump na hose ni za binafsiUna irrigation yako mwenyewe?
Hata Trump tu akimkoromea yule dogo mwenye kiduku kule N. Korea masoko ya fedha yanaweza kuyumba duniani hasa Yen ya Wajapan kule. Inabidi ufuatilie kwa uangalifu matukio yote muhimu na yanayoweza kuathiri masoko ya pesa duniani. Na pengine hata ubuyu wa Malkia kule, Trump...unaweza kutingisha akaunti yako. Unaweza kulala ukajisahau ukija kuamka dola zako 2,000 zote zimeenda na maji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heee aiseee matukio ya dunia nzima tena uwiii ni zaidi ya kula ubuyu