Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijawah sina moyo wa kuvumilia hasara
 
Heee aiseee pesa zinayeyushwa kirahisi rahisi hivyo duh sasa hapo mkesha si unakuwepo bila kupenda
 
Ni biashara gani unafanya ambazo hazina uwezekano wa kula hasara? Siku nikija Mwanza halafu ukatae kuonana nami nitakwenda hata Radio Free Afrika kulalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara zipo hazina hasara kubwa za kuleteana presha
hahhahahaaa aiseee radio zilipendwa hio. Anonymous milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…