Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TIBA.
Tumia mbegu kumi za vitunguu swaumu kwa 10/3 yaani mbegu moja kila siku kwa siku kumi. Paka mchanganyiko wa nyanya na mafuta ya glycerin kwenye eneo husika kwa siku kumi.
 
DALILI ZA MWANZO.
Mafua mepesi na kukohoa huanza kwa sababu virusi hushambulia ukuta wa ute, hii husababisha kikohozi endelevu, na kwa watoto husababisha nyumonia. Pia husababisha matonsili.
 
DALILI ZA ZAIDI.
Pia hutokea uvimbe katika ngozi ya pua (hypothalamus) hii husababisha shida katika kupumua nyakati za usiku au wakati wa baridi. Kama haitazuiliwa itasababisha nyumonia.
 
TIBA.
Tumia ndimu maana ina vitamin C ambayo huzuia virusi hivi. Dozi ya ndimu ipo kama ifuatavyo:-
1-2-3-4-5 - 5-4-3-2-1 tumia kijiko cha chai cha 200gram.
Unga wa tangawizi tumia vijiko viwili kila siku kwa siku kumi (10). Kwa watoto tengeneza iwe ya maji. Asali au glasi nne za juisi ya ndimu pamoja na unga wa tangawizi na kitunguu swaumu kimoja kilichopondwapondwa. Tumia mchanganyiko huo 1x3 ukitumia kijiko cha chai, kila siku kwa siku kumi (10.
 
BAKTERIA.
Bakteria hupenda kuishi kwenye sehemu za joto. Yapo makundi ya bacteria, nayo ni matano.
1. Basili - kundi hili linabakteria walionyooka.
2. Kokas (cocus) - hii inamaanisha anaishi peke yake.
3. Diplo - kokasi - hawa wako katika fuara na wawili wawili.
4. Stnapo - kokasi- hawa wako katika umbo la fimbo.
Mf. Migke - bacteria hawa huwa kama wamepakwa mafuta. Mf. (TB) kifua kikuu na Migke-bakteria (ukoma). Lakini bacteria wa nyumonia hawana umbo, huitwa nyumonie.
 
DALILI ZA MWANZO.
Kwanza, kikohozi kikave na kupiga chafya kwenye nyakati za baridi.
Maumivu makali kama sindano kifuani hushambula nyakati za baridi, hasa kwa kuvaa nguo zisizokauka (mbichi) nyakati za baridi.
DALILI ZA ZIADA.
- Koo kukauka (Pharilgitis) kupoteza sauti, hii ni dalili ya kuharibiwa kiboksi cha sauti. Husababisha mashambulizi ya derera. Ulimi huwa na rangi kama ya maziwa na vipele na uvimbe.
KINGA.
Epuka kunywa na kuoga maji ya baridi.
Usianike nguo ndani ya nyumba. Epuka kutimia maji baridi na sisitiza uvaaji unaoendana na baridi.
TIBA.
Tumia tangawizi kijiko cha chai 1x3 katika glasi moja kila siku kwa siku 10. Na vitunguu swaumu 3 kila siku x1 kwa wiki 6. Unaweza kutumia pilipili katika mlo wako kwa mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…