Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa Kinyakyusa katika ubora wako. Asante kwa kunifanya nicheke. Numbisa amesema yeye atabakia kuwa anonymous daima ila nikijipa wiki moja Mwanza naamini nitafanikiwa kumuibua. Kama mbwai na iwe mbwai tu. Wabeja !!!
Mweee nikipata ubuyu shimba yupo koromije napotea JF kwa muda kama mbwai na iwe mbwai hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…