"Mimi Shimba ya Buyenze,ni mzaliwa wa Koromije.
Nimepotezana na dada yangu aitwae Numbisa,anaishi Mwanza.
Dada yangu anajihusisha na ushauri wa afya na tiba mbadala (faida za kutumia 'konokono' mara kwa mara) kwa walio na matatizo ya moja kwa moja.
Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kwenye somo la FOREX tukiwa watatu (SYB,myoyambendi na Numbisa) ukumbi wa JF.
Chonde dadaangu,popote ulipo,jitokeze nipo hapa kwenye riredio firii afilika mwanawane nakungojaga"
Hello Shimba...
Hello Numbisa...
Hello everyone out there...
Aaaaa wapi. Walishamchonga na mavisu huyo tayari. Lips. Boobs. Butts...Hapa Mnyaazi Mungu nadhani alitumia siku sita na nusu kumufinyanga huyu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaa wapi. Walishamchonga na mavisu huyo tayari. Lips. Boobs. Butts...
Beautiful.
Yegoooooooooooo !!!Na kweli huyu amechongwa haswa na kunakishiwa kabisa! Unaweza kudhani akienda kwa toilet anafyatua keki huyu mtoto! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Pipooooooooooooooooooziiiiiiiii !!! Mkawe na siku njema na daima tumshukuru Mungu.
![]()
Umealikwa popote kwenda kula Turkey kesho? Mi nimealikwa kwa mchungaji. Happy Thanksgiving na kwako pia. Tumshukuru Mungu daima....Usiku mwema mkuu!
View attachment 636152
Umealikwa popote kwenda kula Turkey kesho? Mi nimealikwa kwa mchungaji. Happy Thanksgiving na kwako pia. Tumshukuru Mungu daima....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tumesha kuwa ndugu hawezi kujificha.Mzee wa Kinyakyusa katika ubora wako. Asante kwa kunifanya nicheke. Numbisa amesema yeye atabakia kuwa anonymous daima ila nikijipa wiki moja Mwanza naamini nitafanikiwa kumuibua. Kama mbwai na iwe mbwai tu. Wabeja !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Toto jinga kabisa wewe.Na kweli huyu amechongwa haswa na kunakishiwa kabisa! Unaweza kudhani akienda kwa toilet anafyatua keki huyu mtoto! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Kama ni ka kike katie hasara ya kueleweka hiyo kesho mpaka after 9 months kuwe na ng'waa ng'waaa huko...Kuna ka andaeitini flani hivi kamenialika kwao! Na hiyo kesho ifike tu nikatie hasara huko! [emoji23][emoji23]
Muungwana Andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] jamani jamaniii...